SWISSAID Publications SWISSAID - SWTA 4 - Kitini cha kilimo hai Ufugaji wa kuku
Published: 2019-11-20

A. Matarajio ya mwongozo
Wafugaji wataweza
- Kujenga banda bora la kufugia kuku
- Tengeneza lishe bora
- Tunza kumbukumbu vizuri za ufugaji
- Kutibu magonjwa kulingana na yalivyoelekezwa
- Watafanya uchaguzi sahihi wa ufugaji kulingana na maeneo Yao.
- Kutambua na kudhibiti magonjwa
- Kuwa mabalozi wazuri wa ufugaji kuku kwa mbinu za kilimo hai
B. Uandishi wa mwongozo
- Mwongozo umeandikwa Kwa kulejea nakala mbalimbali za ufugaji pamoja na uzoefu
wa wafugaji wenyewe katika matumizi ya mimea dawa katika kudhibiti na kutibu magonjwa.
- Mwongozo umelenga magonjwa yanayopatikana na yaliyothibika kuwa sumbufu Kwa
walengwa.