Journal of Sustainable Agriculture in East Africa
Swahili Only
Mkulima Mbunifu (MkM) is a monthly journal that provides agricultural information on ecologically sound farming practices and technologies. MkM aims to improve the economic, social and environmental life of smallholder farmers in Tanzania through the increase of sustainable ecological agriculture and improved agricultural production. Download your copy for the month. This farmer magazine focuses on crop various crop management and animal husbandry techniques, crop storage technologies, to avoid post-harvest damage and loss. Read, learn, share and be better.
127 Edisi dalam Penerbitan ini (Menampilkan edisi 18 - 9) Sebelumnya | Berikutnya
MkM Toleo la 18 - 01 Maret 2014
- Ni kwa nini mkulima awe maskini?
- Tahadhari! Mlipuko wa homa ya nguruwe
- Uhai wa kilimo na rutuba upo katika mboji
- Fuko: Mnyama hatari kwa mazao yako
- Zalisha zao la vanila ujikomboe kiuchumi
- Ufugaji wenye tija unatokana na gharama ndogo
- FADECO - mdau wa MkM kanda ya ziwa
- Funguka akili mkulima hupaswi kuwa maskini!
MkM Toleo la 17 - 01 Februari 2014
- Tahadhari! Mnyanjano, ugonjwa unaotishia migomba
- Jitayarishe kutumia mbegu mpya za mazao
- Fuga kondoo kisasa uboreshe pato lako
- Panda mapema ili kuongeza mazao
- Uzalishaji wa malisho kwenye eneo la kuchungia
- Panda miti kutunza mazingira na uongeze pato
- Kondoo wanahitaji malisho ya kutosha
- Uhimilishaji, njia bora ya uzalishaji mifugo
- Zalisha matango uboreshe kipato kwa muda mfupi
MkM Toleo la 16 - 01 Januari 2014
- Habari njema, sasa Mkulima Mbunifu ni kila mwezi
- Mwongozo wa ufugaji, jipatie nakala yako!
- Fuga kondoo kisasa uboreshe pato lako
- Dhibiti visumbufu vya mimea kiasili
- Ni muhimu kuzingatia utunzaji wa vifaranga
- Ufugaji wa samaki kwenye bwawa
- Ufuta: Zao lenye faida lukuki kwa mkulima
- Hatua muhimu za kilimo cha migomba
MkM Toleo la 15 - 01 November 2013
- Ufugaji: Suluhisho kwa tatizo la ajira
- Uzalishaji unategemea uhifadhi wa mazingira
- Mtama silaha ya kukabili uhaba wa chakula
- Utunzaji wa kumbukumbu ni muhimu
- Vidokezo vya utunzaji wa mitamba
- Kabichi, faida lukuki kiuchumi na kiafya
- Wenzako wamepiga hatua
MkM Toleo la 14 - 01 September 2013
- Hongera Mkulima Mbunifu
- Kazi isiyotiliwa maanani yenye kipato kikubwa
- Mpunga zao muhimu lenye gharama nafuu
- Jenga nyumba ya nyuki upate faida zaidi
- Habari njema kwa mkulima wa nafaka!
- Unaweza kuepusha uharibifu wa mazingira kwa kutumia jiko-kapu
- Chanjo ni muhimu kwa ng’ombe wako
MkM Toleo la 13 - 01 Juli 2013
- MkM: Miaka 2 ya huduma
- Changamoto ya zao la mahindi
- Ni muhimu kuelewa magonjwa ya mimea
- Nguruwe: Gharama ndogo, tija zaidi
- Mahindi zao kuu la chakula linalopendwa
- Wadudu wanaoshambulia mahindi
- Uzalishaji wa mahindi kwa misingi ya kilimo hai Tofauti
- Mkulima anaedhihirisha ubunifu kwenye kilimo
- Nawezaje kukabiliana na magonjwa ya ng’ombe
- Kutambaa, kutembea na kukimbia
MkM Toleo la 12 - 01 Mei 2013
- Panda miti kwa ajili ya mazingira
- Lenga kuongeza uzalishaji
- Mahindi, zao kuu la chakula linalopendwa
- Wadudu wanao athiri uzalishaji wa asali
- Mipango thabiti huleta mafanikio katika ufugaji
- Uzalishaji na utunzaji wa malisho ni muhimu
- Ufugaji wa kondoo humuongezea mfugaji kipato
MkM Toleo la 11 - 01 Maret 2013
- Alizeti ni chanzo kizuri cha malisho
- Kilimo cha mkataba huunganisha wakulima
- Kufanya kilimo kwa mkataba inalipa
- Alizeti ni chanzo cha malisho ya mifugo
- Karanga ni zao muhimu la jamii ya kunde
- Ongeza pato lako kwa kuzalisha samaki
- Unaweza kupata mafanikio kwa kufuga mbuzi
MkM Toleo la 10 - 20 Januari 2022
- Mipango thabiti huleta manufaa
- Ni hatari kutumia kemikali shambani mwako
- Wadudu rafiki dhidi ya wadudu waharibifu
- Maziwa yenye ubora huzalishwa kwa usafi
- Hoho zao lenye gharama ndogo kuzalisha
- Tikiti-maji moja ya mazao yenye bei ya uhakika
- Matayarisho ya shamba na upandaji
- Maharagwe machanga hushamirisha uchumi
- Namna ya kuboresha uzalishaji wa ng’ombe
- Mbolea ya mifupa, kwato na pembe
MkM Toleo la 9 - 01 November 2012
- Wezesha wakulima kuelewa shughuli zao
- Malisho zaidi hukupatia maziwa zaidi
- Utunzaji wa udongo kwa ajili ya kilimo hai
- Ni rahisi kutunza kuku wa kienyeji
- Ufugaji wa kuku unaweza kuongeza kipato cha familia
- Teknolojia: Kuongeza uzalishaji wa mayai na vifaraga
- Wafugaji wanaweza kufanya utafiti wao wenyewe
- Unahitaji nini ili kuzalisha papai bora?
- Tumepokea mrejesho kutoka kwa wakulima