SWISSAID Publications SWISSAID - SWTA 3 - Kitini cha kilimo hai Kilimo mseto
Terbit: 20 November 2019
Ni kilimo kilicho hai, kilimo chenye kuhusishwa na mazingira bora, mfumo wa usimamizi wa maliasili (mfano: misitu) ambao, kwa kupitia mchanganyiko wa miti mashambani au kwenye ardhi ya kilimo, hupanua wigo na kuongeza uzalishaji na hivyo kuongeza uchumi katika ngazi ya familia hadi Taifa na kuongeza faida katika utunzaji wa mazingira katika ngazi zote za watumiaji wa ardhi.