Tanzania Organic Agriculture Movement (TOAM) Publications TOAM 4 - Pest and disease management
Published: 2019-11-20

Je, ninahitaji kujua kitu gani? Ni muhimu ni vimelea gani vinasababisha uharibifu shambani. Utambuzi sahihi wa kimelea ni hatua y kwanza katika udhibiti athirifu wa wadudu waharibifu na magonjwa.