Malengo ya kujifunza kwa wakulima:

  • Kutofautisha baina ya viumbe rafi ki kwa mimea na wadudu, magonjwa na magugu
  • Kujenga ufahamu wa viumbe muhimu sana vinavyozuia uzalishaji na hifadhi ya mazao ya kilimo
  • Kuelewa kwa nini udhibiti wa wadudu, magonjwa na magugu haupaswi kuishia katika kupuliza viuatilifu tu, lakini panatakiwa kuwepo na mazingira mazuri kwa ukuaji wa mimea ili kukuza uhimil na ustahimilivu wao na kuhimiza taratibu za kiasilia za udhibiti kwa kuongeza matumizi ya viumbe adui wa wadudu na vimelea
  • Kutambua zana za kilimo-hai za kudhibiti wadudu, magonjwa na magugu na kuweza kuziunganisha inavyostahili ili kuzuia matumizi ya viuatilifu

Kilomohai Training Materials http://www.kilimohai.org/kilimohai/training-materials