Kuhusu Kituo cha Athari

Kituo cha mafunzo cha ECHO kimeongeza huduma za ECHO kuwasaidia wale wanaofanya kazi na maskini Afrika Mashariki kwa ufanisi zaidi hasa katika eneo la kilimo na mbinu mbadala. Kazi za msingi za kituo cha mafunzo cha ECHO Afrika Mashariki ni kama msaada wa kiufundi, kusaidia mashirika na wafanyakazi wa maendeleo ya jamii kufanya kazi kwa ufanisi zaidi ili kupunguza njaa.


Huduma

  • Utafiti na maendeleo ya muundo wa kilimo cha ngazi ya chini
  • Kushirikiana na mashirika ya maendeleo yanayofanya kazi Afrika Masharik
  • Bustani za maonyesho ya muundo tofautitofauti wa kilimo
  • Rasilimali za kilimo kwa ajili ya kujisomea
  • Mafunzo ya mbinu mbadala, ubunifu na maonyesho
  • Hifadhi ya mbegu, ubadilishanaji wa mbegu na elimu ya uhifadhi wa mbegu
  • Mafunzo ya bustani za nyumbani (bustani za kilimo hai, bustani za jikoni, bustani za mifuko, na utengenezaji wa mboji)
  • Mafunzo na utembeleaji wa vitalu vya miti ya matunda
  • Kuandaa makongamano, warsha, forumu, matembezi ya kubadilishana na mafunzo ya mbinu bora
  • Ufuatiliaji na kutembelea sehemu za kazi
  • Mtandao kati ya wakulima na wadau wengine wa maendeleo
  • Usimamizi wa mifugo
  • Kushiriki katika maonyesho ya kilimo

Wasiliana:

Erwin Kinsey

ECHO East Africa Impact Center
P O Box 15205
Arusha Tanzania

East Africa Visasisho

Jaza Kamili: Njia Rahisi ya Kupunguza Uharibifu wa Fukusi katika Mbegu za Mahindi Zilizohifadhiwa katika Kontena Zisizoingiwa na hewa 2021-09-27

Hasara za Baada ya mavuno zinazosababishwa na wadudu katika nafaka zilizohifadhiwa zinawakilisha changamoto kubwa wakulima wadogo wanakabiliwa kusini mwa ulimwengu. Fukusi wa mahindi (Sitophilus zeamais) ni mmoja wa wadudu muhimu zaidi wa Baada ya mavuno katika mahindi. Na mahindi makavu yaliyohifadhiwa katika mifuko ya polypropylene iliyosokotwa, Likhayo et al. (2018) iligunduliwa kuwa wadudu (fukusi wa mahindi na mdudu mwingine wa mahindi anayeitwa mtoboa mdogo wa nafaka [Prostephanus truncatus]) walipunguza uzani wa nafaka kwa 36%. Hasara kama hizo zinatishia usalama wa chakula wa wakulima na uthabiti wa jumla wa kifedha.

 

Soma maelezo yote ya utafiti

Rasilimali za karibuni: East Africa

Africa Soil Health Consortium

ASHC defines integrated soil fertility management or ISFM as : "A set of soil fertility management practices that necessarily include the use of fertilizer, organic inputs and improved germplasm combined with the knowledge o...

The effect of traditional malting technology practiced by an ethnic community in northern Uganda on in‐vitro nutrient bioavailability and consumer sensory preference for locally formulated complementary food formulae

Alowo D, Muggaga C, Ongeng D. The effect of traditional malting technology practiced by an ethnic community in northern Uganda on in-vitro nutrient bioavailability and consumer sensory preference for locally formulated compl...

Diversity of Sources of Income for Smallholder Farming Communities in Malawi: Importance for Improved Livelihood

Bhatti, M.A.; Godfrey, S.S.; Ip, R.H.L.; Kachiwala, C.; Hovdhaugen, H.; Banda, L.J.; Limuwa, M.; Wynn, P.C.; Ådnøy, T.; Eik, L.O. Diversity of Sources of Income for Smallholder Farming Communities in Malawi: Importance for I...

Agriculture and Food Security - Malawi

To address food insecurity and spur agriculture-led growth, the government of Malawi has developed a National Nutrition Policy and Strategic Plan, closely linked to its Comprehensive Africa Agriculture Development Program (C...

National Smallholder Farmers’ Association of Malawi (NASFAM)

NASFAM is a farmer-member controlled system. This control starts at Association level. The NASFAM system is organised into a unique extension network to support its membership of around 100,000 smallholder farmers. The small...

Kuhusu East Africa

Uhaba wa chakula umeongezeka kwa kiasi kikubwa Afika Mashariki kutokana na kasi ya kuongezeka kwa idadi ya watu, ongezeko la 150% ifikapo 2050. Zaidi ya 40% ya watoto wa Afrika Mashariki wana utapiamlo.Idadi kubwa yao ni yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu ambao wanategemea familia zao kubwa kiuchumi. Wengi wa wakazi wa vijijini wanaishi katika umasikini, kutegemea maisha ya kujikimu. Sababu za hali hii ni pamoja na
  • Mbinu za kawaida za ugani za kukuza mapato ya kilimo
  • Kiwango kikubwa cha upotevu wa mavuno
  • Maendeleo hafifu ya masoko, mzunguko wa thamani na miundomb
  • Wakulima na wafugaji wachache katika kanda hiyo, upatikanaji wa huduma za kilimo,kuendelea na elimu au upatikanaji wa mikopo rasmi
  • Kuongezeka kwa shinikizo la ardhi kulazimisha familia kulima kidogo, ardhi iliyomomonyoka na uharibifu wa mazingira na matokeo endelevu ya uzalishaji wa chakul
  • Ukame hasa katika maeneo kame ya wafugaji.
  • Ukataji miti
  • Mafuriko 
Mabadiliko ya tabia nchiJinsi ya kuwasiliana na Kituo cha mafunzo cha kanda(Ikiwa kuna chochote muhimu)

Where we are located:

Drive to the North West 8 km from Arusha to Nairobi, after Ngaramtoni, University of Mount Meru, the camp two Chinese road, and after a huge hit on the left. Turn right at the sign of a large tablet of ECHO green / garden trees specific information and follow the dirt road a distance of 200 meters, passing a concrete wall on the left. Once the wall, turn left through the iron gate (there are small signs here of the garden) and forward through a tree nursery and office ECHO which has marked. If you come to via public transportation, bus riding from town to ngaramtoni; then another bus from ngaramtoni climbed up Radio News Special. Guards and staff will be happy to give you directions to the front door of the ECHO office in East Africa.