01-01-2007 Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la njia bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na...
This Agrodok provides a wealth of useful information on how to overcome the main constraints in small-scale poultry production and deal with threats like predation and infectious diseases. It is a practical booklet with chapters on hatching, housing, nutrition and health. 2 Copies