1. Mbegu ni pembejeo ya bei rahisi na ya msingi kwa uzalishaji endelevu wa kilimo. Kuzidisha na kusambaza mbegu zenye ubora wa hali ya juu ni hatua muhimu katika uzalishaji wa kilimo wa nchi yoyote.