Maendeleo ya jumla yanalenga kutosheleza mahitaji ya kimsingi ya wanadamu, pamoja na: hitaji la Mungu, chakula, upendo, nyumba, nguo, afya ya mwili na akili na hali ya utu wa binadamu. Kwa kuongezea, njia hii inazingatia kuwa watu ni viumbe wa kiroho, kijamii na wa mwili, walioundwa kuishi katika...