8 vitu vilivyopatikana (Inaonyesha 1 - 8)
  1.  
  2. 01-07-2013 Telfairia pedata ni zao la asili katika Afrika mashariki na kati . (Aina moja, Telfairia occidentalis inapatikana Afrika Magharibi) na na mbegu zenye ukubwa wa sentimita 4 na inafanana na shilingi za zamani, na mbegu zake zinakuwa na sifa kama karanga, yaani ina protini nyingi zaidi ya asilimia...
     
  3. 01-12-2021 Ndani ya Toleo hili: Mikakati ya Kuboresha Uzalishaji wa Mbegu Uzoefu wa Kiugani wa Mbali na wa Kidijitali Katika Kenya Wasifu wa Mshirika: Utooni Development Organization (UDO) Majadililiano Kutoka Kwenye Mtandao:  
  4. 01-07-2013 Kilimo Hifadhi (Conservation Agriculture - CA) kimendelezwa katika Afrika Mashariki kwa miaka michache sasa. Katika makala hii, ECHO inashirikisha mbinu zilizopatikana kutoka kwa wana mtandao wa Africa Conservation Tillage Network (ACT) na wadau wengine wenye uzoefu katika nchi mbalimbali za...  
  5. 01-07-2013 Kilimo Hifadhi katika Afrika Mashariki: Taarifa fupi Matokeo gani katika ECHOcommunity.org? Telfairia pedata: Oyster Nut, Kweme auZanzibar Oil Vine  
  6. 20-04-2020 Kilimo hifadhi kimeenea kwa miaka 40 iliyopita hadi kufika hekta milioni 105 za ardhi iliyolimwa duniani kote (ACT 2008). Ufanisi wa kilimo hifadhi katika kuhifadhi unyevu wa udongo, kuboresha udongo, kupunguza gharama za pembejeo,uzalishaji thabiti na mavuno mengi ya mazao kutapelekea kujenga...
     
  7. Agosti 2023,Toleo la 127 Mkulima Mbunifu (MkM) ni jarida linalotoa elimu ya kilimo.  
  8. 20-07-2008 Kitabu cha kuku wa asili Kuku wa kienyeji ni wale ambao wamekuwepo hapa nchini kwa miaka mingi na damu yao haijachanganyika na ya kuku wa kigeni. Kuku hawa wana rangi na maumbo mbali mbali. Idadi ya kuku wa kienyeji hapa Tanzania inakadiriwa kufikia milioni 27. Kati ya kaya milioni 3.8...  

Unatafuta matokeo zaidi?

Uliza jumuia kuhusu Kubadilisha mbegu/kubadilisha/maonyesho