SWISSAID Publications SWISSAID - SWTA 5 - Kitini cha kilimo hai Upatikanaji wa mbegu
已出版: 2019-11-20
Mbegu ni moja ya pembejeo kuu za uzalishaji wa chakula. Wakulima duniani kote wamekuwa wakijua jambo hili kwa karne nyingi. Mamilioni ya familia na jamii za kilimo wamefanya kazi ya kuchagua mbegu na kuzitunza kwa ajili ya matumizi ya msimu wa kilimo unaofuata. Hii ndio imeruhusu kilimo kuenea na kukua na kulisha dunia kwa chakula tofauti.