CTA Publications Jinsi ya kudhibiti kiduha na dumuzi kwenye mahindi
Limechapishwa: 20-01-2007
Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la njia ya kudhibiti kiduha na dumuzi kwenye mahindi. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na michoro rahisi inayojieleza yenyewe.