Rasilimali zilizochaguliwa kwa Kilimo Timilifu

  1. Rasilimali Muhimu
    01-01-1998 Mokala haya yamegawanywa katika sehemu mbili. Sehemu ya kwanza ya makala haya nahusu teknolojia mpya, ijulikanayo kaina 'technology protection system' kwa wale wanaoendelezana 'tenninator technology' kwa wale wanaopinga. Teknolojia hii inahimiza wito wa hati miliki katika ukuzaji wa chakula....
  2. 20-04-2020 Kilimo hifadhi kimeenea kwa miaka 40 iliyopita hadi kufika hekta milioni 105 za ardhi iliyolimwa duniani kote (ACT 2008). Ufanisi wa kilimo hifadhi katika kuhifadhi unyevu wa udongo, kuboresha udongo, kupunguza gharama za pembejeo,uzalishaji thabiti na mavuno mengi ya mazao kutapelekea kujenga...
  3. 20-04-2020 Kwa Nini Kilimo Hifadhi? ................................................... 3 Kupunguza usumbufu wa udongo ........................................ 5 Umuhimu wa kufunika udongo ............................................ 8 Kupanda kwa usahihi...
  4. 20-11-2018 Return to the Publications List
  5. 20-01-2007 Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la njia ya kudhibiti kiduha na dumuzi kwenye mahindi. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali...
  6. Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la jinsi ya kufuga nyuki na kuchakata asali. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na...
  7. 01-01-2013 Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la jinsi ya kuzuia nzi wa mwembe. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na michoro rahisi...
  8. 01-01-2009 Kipeperushi hiki cha kurasa 12, kinachofaa kwa matumizi kivitendo mashambani na rahisi kusoma kinahusu somo la kuwaunganisha wakulima wadogo wadogo na masoko. Kinatoa rejea ya somo lenyewe, kinaelezea njia na kutoa bakshishi, majedwali na michoro rahisi inayojieleza yenyewe.
  9. 20-07-2008 Kitabu cha kuku wa asili Kuku wa kienyeji ni wale ambao wamekuwepo hapa nchini kwa miaka mingi na damu yao haijachanganyika na ya kuku wa kigeni. Kuku hawa wana rangi na maumbo mbali mbali. Idadi ya kuku wa kienyeji hapa Tanzania inakadiriwa kufikia milioni 27. Kati ya kaya milioni 3.8...
  10. Vile mtu yeyote anaweza unda na kutumia choo chake wakati wowote kwa kutumia nayasi ya vetiva. Matumizi ya nyasi ya vetiva yachukuliwa pahala pa utumiaji wa choo cha kuchimbiwa,huleta ufaraga/ficha siri na kuifanya choo cha watu/usaha kuumbuka kwa haraka.Nyasi kwa jina jiji vilivile zinaweza...
  11. Farming with raised planting beds is a great way to keep your crop safe and increase your yields. This agricultural technique reduces soil compaction and improves the quality of the soil. It protects your plants during times of excess rainfall. This animation describes how to implement this...
  12. Compost can be used to improve the quality of your soil. You can use plant materials animal manure and kitchen scraps to create compost. Compost will add nutrients and organic matter to your soil. This animation explains the process of creating and storing compost.
  13. This animation talks about deep tillage and smarter manure use.
  14. Drip Irrigation is a technique that allows you to consistently water your entire crop. This technique is especially helpful during a drought or dry season. This technique must be combined with Raised Planting Beds. Please watch our animation on Raised Planting Beds before attempting Drip...
  15. Growing maize is hard work and pests make it even harder. Insect pests can attack your maize crop and destroy it, affecting your family's nutrition, or costing you money. This animation will take you through the steps of protecting your field from pests like the stem borers by using a push-pull...
  16. Kiwavi jeshi vamizi ni mdudu mhalifu kwa mimea haswa mahindi na anaweza kumaliza zao lako lote. Kingo maarufu kulinda zao la mahindi ni kuchunguza na kukabiliana na viwavi mapema. Katika video hii, tutaelezea jinsi ya kutambua viwavi ili uchukue hatua ya kulinda zao lako na jamii yako
  17. This animation explains how to avoid insect damage when storing beans after harvest using the jerrycan method. Beans can be stored in an airtight jerrycan for long periods of time safely. The jerrycan being used must be completely clean and free of any contaminants. It can never have been used...
  18. A future worth living for future generations in the project countries and worldwide: this is the goal the staffat SWISSAID works towards every day. There are 40 people in Berne and Lausanne and about 150 mostly local men and women in project countries. And quite a few partner organisations and...
  19. Since 2014, the Foodgrains Bank network has sponsored a Conservation Agriculture Capacity Development Program to maximize coordination and learning between Canadian Foodgrains Bank members and partners implementing Conservation Agriculture (CA) programming in sub-Saharan Africa. This program has...
  20. Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki Mkulima Mbunifu (MkM) ni jarida linalotoa elimu ya kilimo. Lengo la MkM ni kuboresha maisha ya kiuchumi, kijamii na kimazingira kwa wakulima wadogo nchini Tanzania kupitia kuongezeka kwa kilimo endelevu cha kiikolojia na kuboresha uzalishaji wa kilimo....
  21. Tanzania Organic Agriculture Movement (TOAM) is a registered NGO formed in 2005 under the NGO Act of 2002. We are an umbrella organization that coordinates and promotes the development of organic farming among farmers, distributors and consumers through networking and information distribution....

More Related Resources

Vitabu

Find books about KT - Kilimo Timilifu Rasilimali