Jinsi ya kuzuia Kipindupindu kwa lugha ya Kiswahili (kutoka nchii ya Kenya)
Kipindupindu ni maambukizi yanayosababibishwa na bakteria iitwayo "Vibrio Cholerae".Dalili za ugonjwa wa kipindupindu ni kuharisha au kutapika. Kipindupindu sanasana huambukizwa kwa kula chakula kichafu au kunywa maji chafu. Katika video hii, ambayo inaweza kutumika kwenye simu, tutaonyesha njia kadhaa za kujikinga na kipindupindu, Ikiwa ni pamoja na kunawa mikono, kukunywa maji yaliyochemshwa na kutafuta matibabu iwapo una dalili zozote za kipindupindu.