Jarida la kilimo endelevu Afrika Mashariki

 

Mkulima Mbunifu (MkM) ni jarida linalotoa elimu ya kilimo. Lengo la MkM ni kuboresha maisha ya kiuchumi, kijamii na kimazingira kwa wakulima wadogo nchini Tanzania kupitia kuongezeka kwa kilimo endelevu cha kiikolojia na kuboresha uzalishaji wa kilimo. Pakua nakala yako ya mwezi huu. Jarida hili linaangazia mbinu mbalimbali za kilimo na ufugaji, teknologia za uhifadhi wa mazao, ili kuepuka uharibifu na upotevu baada ya mavuno. Soma, jifunze, shiriki na kuwa bora zaidi.

 

127 Matoleo katika Chapisho hili (Inaonyesha masuala 8 - 1)

MkM Toleo la 8 - 01-09-2012

  • Wakulima wanatumia taarifa
  • Mradi wa ng’ombe, zingatia haya!
  • Usiruhusu udongo uharibiwe
  • Guatemala: Malisho wakati wa kiangazi
  • Mayai yanaweza kuhifadhiwa kwa muda mrefu
  • Pandikiza parachichi upate mavuno zaidi
  • Kausha mboga za ziada na uzihifadhi
  • Ukaushaji kwa kutumia chumba kimoja

MkM Toleo la 6 - 01-05-2012

  • Usindikaji tumaini la kilimo
  • Je, wajua kuwa kilimo hai kinalipa
  • Faida za kufunika udongo unapopanda mimea
  • Maji moto (weaver’s ant) wadudu rafiki
  • Mbinu rahisi za kuandaa asali
  • Vidokezo juu ya namna ya kulisha kuku
  • Kata matawi, wekea nguzo karakara
  • Korosho zao lenye faida chakwa kwa mkulima
  • Zalisha pamba kwa misingi ya kilimio hai

MkM Toleo la 5 - 01-03-2012

  • Matunzo huleta mafanikio
  • Panda miti kwa ajili ya mazingira na uchumi
  • Vitalu vya miti dhahabu iliyofichika
  • Nyanya zinahitaji matunzo ili upate mavuno
  • Wadudu wa nyanya na njia za asili za kudhibiti
  • Banda safi huimarisha afya
  • Miembe: Bila maua hakuna matunda
  • Baadhi ya mimea huboresha mboji
  • Ujenzi wa mabanda ya kuku

MkM Toleo la 4 - 01-01-2012

  • Unaweza kufaidika kwa kulima kibiashara
  • Jitayarishe kuvuna maji wakati wa mvua
  • Matatizo katika ufugaji wa kuku wakienyeji
  • Maswali ya wafugaji wa kuku na majibu ya wataalam
  • Ufugaji wa nguruwe ni rahisi na wenye tija
  • Magonjwa yanayo shambulia mihogo

Mkm Toleo la 3 - 01-11-2011

  • Muhogo mpiganaji maarufu
  • Kuwezesha kilimo endelevu
  • Tumia mbolea zinazoweza kuimarisha udongo
  • Mfugaji mzuri anafahamu mahitaji ya mbuzi
  • Vuna mapema na utunze mahindi yako
  • Njia sahihi ya ufugaji wa samaki una faida
  • Utengenezaji wa bwawa
  • Maadalizi ya shamba la migomba
  • Mhogo tumaini la wakulima na jamii nzima

MkM Toleo la 2 - 01-09-2011

  • Kwa nini bei ya chakula inapanda?
  • Mkulima Mbunifu lazinduliwa
  • Nyuki hutupatia asali na pesa
  • Hatua sita za kupata udongo bora shambani
  • Ufugaji wa nyuki ni kazi nzuri ya ziada
  • Aina za mizinga ya nyuki
  • Madawa asili dhidi ya wadudu waharibifu
  • Aina ya maembe yanayostawi nchini
  • Mbinu za kudhibiti wadudu waharibifu

MkM Toleo la 1 - 01-07-2011

  • Karibu mkulima uelimike
  • Magonjwa ya kuku
  • Unaweza kupata nakala yako
  • Njia rahisi ya kutengeneza mbolea maji
  • Jinsi ya kuzuia magonjwa ya kuku
  • Faida za kutumia mbolea mboji
  • Mahitaji ya ng’ombe ili aongeze maziwa
  • Washirika wa Mkulima Mbunifu
  • Namna ya kuwavutia nyuki